SHINDANO LA SHUJAA WA BLUU

Jiongezee thamani kwa kuchangamkia fursa ya uuzaji wa vyoo vya SATO na uwe shujaa wa bluu.

SOMA ZAIDI

RASIMU YA AZIMIO LA KAGERA

Azimio la Vijana la Kagera lipo tayari kwa ajiri yako mtu wa nguvu. Pata nakala kufahamu maudhui na mkakati wa utekelezaji.

Pata Nakala

FURSA YA SOKO LA MBEGU ZA MAFUTA YA ALIZETI

Kampuni ya OBRI inanunua mbegu za mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima moja kwa moja kwa bei ya soko na inalipa kwa wakati.

SOMA ZAIDI

Bado hujajiunga na Kamata Fursa? jiunge!

jiunge sasa!

maoni ya wadau

Mitazamo

Suma Mwaitenda

Mkurugenzi, "FURSA CONSULTANCY"

Kwa muda mrefu vijana na wajasiriamali wadogo na wa kati wamekua wakipitwa na taarifa muhimu kuhusu fursa mbali mbali za biashara na kiuchumi. Jukwaa hili limekuja wakati sahii.

Anyitike Mwakitalima

Mratibu Kampeni ya Usichukulie Poa Nyumba ni Choo, "Wizara ya Afya"

Jukwaa hili lilitusaidia kuendesha shindano la ubunifu wa choo bora kwa ufanisi mkubwa. Nawapongeza.

ELIZABETH MALINGUMU

MSHINDI WA SHINDANO LA UBUNIFU WA CHOO BORA, 2017, "CLEAR CONSORTIUM"

Binafsi nimetumia mtandao huu kuwasilisha ubunifu wangu na kuwa mshindi. Nawashauri vijana wenzagu wajiunge na watumie kutafuta fursa.

yanayotokea kwingineko

Habari na Taarifa

2019-07-01 TAARIFA

MAFUNZO YA UENDESHAJI BIASHARA SABASABA

TANTRADE kwa kushirikiana na Taasisi za Udhibiti bidhaa nchini imeandaa Mafunzo ya Uendeshaji Biashara kupitia Kliniki ya Biashara yanayotarajia kufanyika tarehe 3-6 Julai, 2019.Tunapenda kuwataarifu wadau wa biashara nchini kushiriki mafunzo hayo ili kupata mbinu za kutafuta masoko ya bidhaa, uendeshaji wa biashara pamoja na mitaji. Ili kusajili ushiriki wako bofya hapa  kabla ya tarehe 2 Julai, 2019. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti www.tantrade.go.tz  au piga simu Na.0735510907

...

CHETI NA DIPLOMA YA MAZINGIRA

Chuo cha Mazingira na Maendeleo Endelevu (IEDS) kilichopo Bunju B, Kinondoni Dar Es Salaam, bado kinapokea wanafunzi wa CHETI na DIPLOMA YA ENVIRONMENTAL SCIENCE AND MANAGEMENT.

Kozi hii kwa sasa ndiyo inayotoa fursa za ajira kwa  haraka zaidi mara vijana wanapohitimu.

Ili kujiunga mwanafunzi anatakiwa awe na ufaulu wa angalau D nne tu moja ikiwa ya somo la sayansi au jiografia kwa cheti

Kwa ngazi ya diploma mwanafunzi  anatakiwa awe na ufaulu wa principal pass moja na subsidiary kwa somo la sayansi au jografia

Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni na kwenye tovuti ya chuo: www.ieds.or.tz Piga Simu Na:  0719 195750 na 0767 322971 kwa mawasiliano zaidi.

...