Fursa Challenge

BUNI CHOO BORA CHA GHARAMA NAFUU

FOMU YA MAOMBI

Tafadhali soma kwa makini maelezo na mahitaji ya FUMBO kabla ya kujaza fomu na kuamua kushiriki katika FUMBO la KAMATA FURSA, BUNI CHOO BORA CHA GHARAMA NAFUU.

SEHEMU YA I :TaarifaBinafsi
SEHEMU YA II: Elimu
Kiwango cha Elimu Jina la shule/Chuo Tarehe Tuzo/Cheti
Elimu ya msingi 1
2
3
4
Elimu ya sekondari 1
2
3
4
Elimu ya Chuo 1
2
3
4
SEHEMU YA III: Lugha
Lugha Kuongea
Kiwango cha umahiri
Kuandika
Kiwango cha umahiri
Kiswahili
Kiingereza
Kihispaniola
Kifaransa
Kijerumani
Kichina
Kijapani

N.B: Tambulisha umahiri wa lugha kwa kuzingatia, Dhaifu, Wastani, Vizuri, Vizuri sana

SEHEMU IV: HAMASA
PART 4: UTHIBITISHO

Ninathibitisha kwamba taarifa zote nilizojaza katika fomu hii ni za kweli kabisa katika kiwango cha uelewa wangu