Card image cap

Dec 16 & Dec 17

Dec 16 & Dec 17

AZIMIO LA KAGERA

Katika kuelekea Tanzania yenye mapinduzi ya fikra na uchumi uitakayo, hakuna anayeweza kuielezea changamoto kwa kina isipokuwa yule inayomkwamisha kuifikia ile ndoto inayomnyima usingizi, na hakuna awezaye kutoa maoni isipokuwa yule anayeuona mwisho tangu mwanzo.

Jiunge hapa kushiriki Fursa Kagera, pia tuma ujumbe mfupi wa maneno wenye maoni au changamoto unazoziona katika njia ya kuielekea nchi ya ahadi kibiashara, kiuchumi na kijamii kwenda namba 0756 759 448.

Kila meseji ni jiwe la Azimio la Kagera.

JISAJILI HAPA