0000-00-00
Miongoni mwa mbegu chotara za Alizeti ni pamoja na  NSFH 36 na NSFH 145
Miongoni mwa mbegu chotara za Alizeti ni pamoja na  NSFH 36 na NSFH 145. Sifa kuu za mbegu bora chotara za Alizeti (Hybrid);

  1. Zinastahimili upungufu wa mvua
  2. Zinalimwa kwenye udongo wa kichanga na mfinyanzi
  3. Zina kiwango kikubwa cha mafuta
  4. Zina mashudu mengi
  5. Zina uzalishaji  bora na wenye tija

Tupigie 0625 993 746 kwa maelezo zaidi.