0000-00-00
Maandalizi na upandaji shamba linatakiwa liandaliwe vizuri kwa kukwatuliwa na kulimwa vizuri

Alizeti hupandwa kwa nafasi ya sentimeta 60 kati ya mstari na mstari na sentimeta 30 kati ya mche na mche.Urefu wa shimo unatakiwa kuwa sentimeta 2.5 hadi 3.

Tupigie 0625 993 746 kwa maelezo zaidi.