0000-00-00
Upandaji wa Alizeti unaozingatia ushauri wa kitaalamu

Alizeti hupandwa mbegu mbili kwa shimo moja lenye urefu wa sentimeta 2.5 hadi 3. Kumbuka kupunguza na kubakiza mche mmoja kwa kila shina wakati wa palizi. 

Tupigie Piga 0625993746 kwa maelezo zaidi.