0000-00-00

Matumizi ya Mbolea (za asili na viwandani) ni muhimu kwenye kilimo cha Alizeti. Bila kutumia mbolea, iwapo ardhi ikiwa haina rutuba, uzalishaji utashuka kwa asilimia 50.Wakati wa kuweka mbolea kuwe na unyevu wa kutosha na kama hakuna vipimo kifuniko cha soda kinatosha kwa shina.Virutubisho vya Nitojeni (huwekwa baada ya kupanda), Fosforasi (wakati wa kupanda), Potasium na Salfa ni muhimu sana kwa zao la Alizeti.

Tupigie 0625993746 kwa maelezo zaidi