Safari ya Shindano la Buni Choo Bora

Safari ya Shindano la Buni Choo Bora Cha Gharama Nafuu

Fumbo la buni choo bora cha gharama nafuu lilizinduliwa kwenye msimu wa FURSA 2017 mwezi Septemba. Lengo likiwa ni kuwahusisha vijana wa Kitanzania wabunifu na wajasiriamali watakao tumia maarifa na uwezo wao kuweza kupendekeza aina ya choo bora chenye kukidhi vigezo katika jamii nyingi nchini zile zenye kipato cha chini na cha juu. Ubunifu wa choo hiki ulipaswa kuzingatia zaidi mvuto, unafuu katika upatikanaji wa malighafi, ununuzi, ujenzi na matengenezo ya mara kwa mara.

Mshindi wa shindano hili atapatiwa ziara ya mafunzo nchini Japani na ajira ya muda (kati ya miezi 6 hadi 12) ya kufanya kazi katika kampeni ya taifa ya kuhamasisha ujenzi na matumizi ya vyoo bora.SOMA ZAIDI

Piga kura kwa washiriki

Barnabas John Shio
Gender: Male
Region: Dar es Salaam
Fursa 1
Betwel John
Gender: Male
Region: Dar es Salaam
Fursa 2
Iddi Hamisi Nyachenga
Gender: Male
Region: Tabora
Fursa 3
Yasini Mustafa Joshua
Gender: Male
Region: Mwanza
Fursa 4
Malingumu Elizabeth Ezekiel
Gender: Female
Region: Rukwa
Fursa 5

Kinachofata