Taarifa Mbalimbali

Tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali za kibiashara, uchumi na uzalishaji wa bidhaa mbali mbali

FURSA YA UUZAJI WA VYOO BORA VYA SATO


UTANGULIZI 

Choo Bora cha Sato kimebuniwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kitumike katika vyoo vya shimo. Choo hiki kimetengenezwa kwa ufundi na ustadi  wa hali ya juu na kina sifa zifuatazo: 

• Hakitoi harufu 

• Kinazuia wadudu (nzi na mende) 

• Rahisi kusafishika 

• Kinatumia maji kidogo 

• Ni salama kwa watoto 

• Kinawekwa kwa aina zote za vyoo  

• Kinaboresha choo cha zamani au kujengea choo kipya 

• Ni bei rahisi na nafuu kwa mtumiaji 

BEI 

Bei ya choo kimoja ni kwa bei ya jumla ni TZS 8,600 na kinauzwa kwa  bei isiyozidi TZS 11,500 kwa mtumiaji wa mwisho kwa bei ya rejareja. Kampuni ya WAHENGA HARDWARE (FMJ) Yenye Makao Makuu Dar es Salaam, Buguruni Sheli  ndio  msambazaji mkuu wa bidhaa za SATO nchini Tanzania . Vyoo hivi vinapatika pia mikoani kwenye maduka ya vita vya ujenzi.   

UWEZESHAJI 

Ili kufanikisha biashara yako, tutakusaidia kwa kukupa nyenzo za matangazo na kuvutia wateja kama vile T-shirits, mabango, vipeperushi, majarida, mafunzo ya  muda mfupi juu ya faidia na matumizi ya choo bora na mafunzo juu ya ujenzi wa choo. 

KWA MAELEZO NA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA SIMU: +255 738 845630


Maoni


Umesajiliwa? Ingia Haujasajiliwa? Jiunge